Kutoka 15:4
Magari ya vita ya Farao na jeshi lake 2 amewatosa baharini. 1 Maafisa wa Farao walio bora sana 2 wamezamishwa katika Bahari ya Shamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Bwana ni shujaa wa vita; 2 Bwana ndilo jina lake. 1
5Maji yenye kina yamewafunika, 2 wamezama mpaka vilindini kama jiwe. 1
Cross References
Exodus 14:7Akachukua magari bora mia sita, pamoja na magari mengine yote ya Misri, pamoja na maafisa wa magari hayo yote.
Exodus 14:26Ndipo Bwana akamwambia Mose, “Nyoosha mkono wako juu ya bahari ili maji yarudiane yawafunike Wamisri, magari yao ya vita na wapanda farasi wao.”
Psalms 76:7Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa. 2 Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika? 1