Kutoka 15:3
Bwana ni shujaa wa vita; 2 Bwana ndilo jina lake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The LORD is a man of war: the LORD is his name.
In Context
Cross References
Exodus 3:13Mose akamwambia Mungu, “Ikiwa nitawaendea Waisraeli na kuwaambia, ‘Mungu wa baba zenu amenituma kwenu,’ nao wakiniuliza, ‘Jina lake ni nani?’ Nitawaambia nini?”
Exodus 3:15Vilevile Mungu akamwambia Mose, “Waambie Waisraeli, ‘ Bwana, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo amenituma kwenu.’ Hili ndilo Jina langu milele, Jina ambalo mtanikumbuka kwalo kutoka kizazi hadi kizazi.
Exodus 6:6“Kwa hiyo, waambie Waisraeli: ‘Mimi ndimi Bwana, nami nitawatoa mtoke katika kongwa la Wamisri. Nitawaweka huru mtoke kuwa watumwa wao, nami nitawakomboa kwa mkono ulionyooshwa pamoja na matendo makuu ya hukumu.
Exodus 14:25Mungu akayaondoa magurudumu ya magari yao, kwa hivyo wakayaendesha kwa shida. Nao Wamisri wakasema, “Tuachane na Waisraeli! Bwana anawapigania dhidi ya Misri.” 1 Wafuatiaji Wazama
Psalms 45:3Jifunge upanga wako pajani mwako, ee mwenye nguvu, 2 jivike fahari na utukufu. 1
Isaiah 42:8“Mimi ndimi Bwana; hilo ndilo Jina langu! 2 Sitampa mwingine utukufu wangu 2 wala sanamu sifa zangu. 1