Kutoka 17:15
Mose akajenga madhabahu na kuiita Yehova Nisi. + 17:15 Yehova Nisi maana yake ni Bwana ni Bendera yangu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Moses built an altar, and called the name of it Jehovah-nissi:
In Context
Cross References
Genesis 12:7Bwana akamtokea Abramu, akamwambia, “Nitawapa uzao wako nchi hii.” Hivyo hapa akamjengea madhabahu Bwana aliyekuwa amemtokea.
Genesis 22:14Abrahamu akapaita mahali pale Yehova-Yire. + 22:14 Yehova-Yire maana yake Bwana atatupa. Mpaka siku ya leo inasemekana, “Katika mlima wa Bwana itapatikana.”
Exodus 24:4Ndipo Mose akaandika kila kitu Bwana alichokuwa amesema. Akaamka kesho yake asubuhi na mapema na kujenga madhabahu chini ya mlima na kusimamisha nguzo kumi na mbili za mawe kuwakilisha makabila kumi na mawili ya Israeli.
Exodus 32:5Aroni alipoona hili, akajenga madhabahu mbele ya yule ndama na kutangaza, “Kesho kutakuwa na sikukuu kwa Bwana.”
Psalms 60:4Kwa wale wanaokucha wewe, 2 umewainulia bendera, 2 ili iweze kutwekwa dhidi ya upinde. 1