Genesis 22:14
Abrahamu akapaita mahali pale Yehova-Yire. + 22:14 Yehova-Yire maana yake Bwana atatupa. Mpaka siku ya leo inasemekana, “Katika mlima wa Bwana itapatikana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Basi malaika wa Bwana akamwita Abrahamu kutoka mbinguni mara ya pili,
Cross References
Genesis 22:8Abrahamu akajibu, “Mwanangu, Mungu mwenyewe atajipatia mwana-kondoo kwa ajili ya hiyo sadaka ya kuteketezwa.” Nao hawa wawili wakaendelea mbele pamoja.
Genesis 28:19Mahali pale akapaita Betheli, + 28:19 Betheli maana yake Nyumba ya Mungu. ingawa mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu.
Exodus 17:15Mose akajenga madhabahu na kuiita Yehova Nisi. + 17:15 Yehova Nisi maana yake ni Bwana ni Bendera yangu.
Judges 6:24Hivyo Gideoni akamjengea Bwana madhabahu mahali pale na kupaita, Yehova-Shalom. + 6:24 Yehova-Shalom maana yake Bwana ni Amani. Mpaka leo ingalipo imesimama huko Ofra ya Waabiezeri.
1 Samuel 29:10Sasa amka mapema, pamoja na watumishi wa bwana wako waliofuatana nawe, nanyi ondokeni asubuhi mara kutakapopambazuka.”
Psalms 22:4Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, 2 walikutumaini nawe ukawaokoa. 1