The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 17 › Kutoka 17:8

Kutoka 17:8

Waamaleki wakaja na kuwashambulia Waisraeli huko Refidimu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then came Amalek, and fought with Israel in Rephidim.

In Context

7Naye akapaita mahali pale Masa, + 17:7 Masa maana yake ni Kujaribu. na Meriba + 17:7 Meriba maana yake ni Kugombana. kwa sababu Waisraeli waligombana na kumjaribu Bwana wakisema, “Je, Bwana yu pamoja nasi au la?” 1 Vita Na Waamaleki

9Mose akamwambia Yoshua, “Chagua baadhi ya watu wetu na uende kupigana na Waamaleki. Kesho nitasimama juu ya kilima nikiwa na fimbo ya Mungu mkononi mwangu.”

Read all of Kutoka 17

Cross References

Genesis 14:7Kisha wakarudi wakaenda En-Misfati (yaani Kadeshi), wakashinda nchi yote ya Waamaleki, pamoja na Waamori waliokuwa wakiishi Hasason-Tamari.

Genesis 36:16Kora, Gatamu na Amaleki. Hawa ndio waliokuwa wakuu waliotoka kwa Elifazi huko Edomu, waliokuwa wajukuu wa kiume wa Ada. 1

Numbers 24:20Kisha Balaamu akawaona watu wa Amaleki, na kutoa ujumbe wake: 1 “Amaleki ilikuwa ya kwanza miongoni mwa mataifa, 2 lakini mwisho wake itaangamizwa milele.”

Deuteronomy 25:18Wakati mlipokuwa mmechoka na kuishiwa nguvu kwa safari yenu, wakawapiga wale wote waliokuja nyuma. Waamaleki hawakumwogopa Mungu.

1 Samuel 14:48Akapigana kishujaa na kuwashinda Waamaleki, akiikomboa Israeli kutoka mikono ya wale waliokuwa wamewateka nyara. 1 Jamaa Ya Sauli

1 Samuel 30:1Daudi na watu wake wakafika Siklagi siku ya tatu. Basi Waamaleki walikuwa wamevamia Negebu na Siklagi. Wakawa wameshambulia mji wa Siklagi na kuuteketeza kwa moto,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 17:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 17:7Kutoka 17Kutoka 17:9 →