The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 18 › Kutoka 18:24

Kutoka 18:24

Mose akamsikiliza baba mkwe wake na kufanya kila kitu alichosema.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So Moses hearkened to the voice of his father in law, and did all that he had said.

In Context

23Kama ukifanya hivi, na ikiwa Mungu ameagiza hivyo, utaweza kushinda uchovu, nao watu hawa wote watarudi nyumbani wameridhika.” 1 Kuchaguliwa Kwa Waamuzi

25Mose akawachagua watu wenye uwezo kutoka Israeli yote, akawafanya kuwa viongozi wa watu, maafisa juu ya maelfu, mamia, hamsini na makumi.

Read all of Kutoka 18

Cross References

Exodus 18:2Baada ya Mose kumrudisha mkewe Sipora, Yethro baba mkwe wake alimpokea

Ezra 10:2Kisha Shekania mwana wa Yehieli, mmoja wa wazao wa Elamu, akamwambia Ezra, “Tumekosa uaminifu kwa Mungu wetu kwa kuoa wanawake wa kigeni kutoka mataifa yanayotuzunguka. Lakini pamoja na hili, bado liko tumaini kwa ajili ya Israeli.

Psalms 78:53Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa, 2 bali bahari iliwameza adui zao. 1

1 Corinthians 12:21Jicho haliwezi kuuambia mkono, “Sina haja nawe!” Wala kichwa hakiwezi kuiambia miguu, “Sina haja na ninyi!”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 18:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 18:23Kutoka 18Kutoka 18:25 →