Kutoka 18:4
Mwingine aliitwa Eliezeri, kwa kuwa alisema, “Mungu wa baba yangu alikuwa msaada wangu, akaniokoa kutoka upanga wa Farao.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 10:28Farao akamwambia Mose, “Ondoka mbele yangu! Hakikisha kuwa hutakuja mbele yangu tena! Siku ile utakapouona uso wangu utakufa.”
Psalms 18:1Nakupenda wewe, Ee Bwana, 2 nguvu yangu. 1
Psalms 34:4Nilimtafuta Bwana naye akanijibu, 2 akaniokoa kwenye hofu zangu zote. 1
Isaiah 50:7Kwa sababu Bwana Mwenyezi ananisaidia, 2 sitatahayarika. 1 Kwa hiyo nimekaza uso wangu kama jiwe la gumegume, 2 nami ninajua sitaaibika. 1
Acts 12:11Ndipo Petro akarudiwa na fahamu, akasema, “Sasa ninajua bila shaka yoyote kuwa Bwana amemtuma malaika wake na kuniokoa kutoka makucha ya Herode Agripa na kutoka matazamio yote ya Wayahudi.”
2 Timothy 4:17Lakini Bwana alisimama upande wangu akanitia nguvu, ili kupitia kwangu lile Neno lihubiriwe kwa ukamilifu, watu wote Mataifa wapate kulisikia. Mimi niliokolewa kutoka kinywa cha simba.