The Bible Software
bible.softwareExodusExodus 2 › Exodus 2:25

Exodus 2:25

Kwa hiyo Mungu akawaangalia Waisraeli na kuwahurumia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And God looked upon the children of Israel, and God had respect unto them.

In Context

24Mungu akasikia kilio chao cha huzuni, akakumbuka Agano alilofanya na Abrahamu pamoja na Isaki na Yakobo.

Read all of Exodus 2

Cross References

Exodus 3:7Bwana akamwambia, “Hakika nimeona mateso ya watu wangu katika Misri. Nimesikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao, nami naguswa na mateso yao.

Exodus 4:31nao wakaamini. Nao waliposikia kuwa Bwana anajishughulisha nao, na kwamba ameona mateso yao, walisujudu na kuabudu.

Deuteronomy 26:7Kisha tulimlilia Bwana, Mungu wa baba zetu, naye Bwana akasikia sauti yetu na akaona huzuni yetu, taabu yetu na mateso yetu.

2 Samuel 16:12Inawezekana kwamba Bwana ataona dhiki yangu na kunilipa mema kwa ajili ya laana ninayopokea leo.”

Psalms 1:6Kwa maana Bwana huziangalia njia za mwenye haki, 2 bali njia ya waovu itaangamia.

Psalms 31:8Hukunikabidhi kwa adui yangu 2 bali umeiweka miguu yangu mahali penye nafasi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Exodus 2:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Exodus 2:24Exodus 2