Exodus 3:7
Bwana akamwambia, “Hakika nimeona mateso ya watu wangu katika Misri. Nimesikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao, nami naguswa na mateso yao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 29:32Lea akapata mimba akazaa mwana. Akamwita Reubeni, + 29:32 Reubeni maana yake Ona mwana, yaani Yehova ameangalia taabu yangu. kwa maana alisema, “Ni kwa sababu Bwana ameona huzuni yangu. Hakika mume wangu sasa atanipenda.”
Exodus 1:8Kisha mfalme mpya ambaye hakufahamu habari za Yosefu akatawala Misri.
Exodus 2:23Baada ya muda mrefu, mfalme wa Misri akafa. Waisraeli wakalia kwa huzuni katika utumwa wao, walilia na kilio chao cha kutaka msaada kwa ajili ya utumwa kikamfikia Mungu.
Exodus 22:23Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao.
2 Kings 13:4Ndipo Yehoahazi akamsihi Bwana rehema, naye Bwana akamsikiliza, kwa maana aliona jinsi mfalme wa Aramu alivyokuwa akiwatesa Israeli vikali.
Nehemiah 9:9“Uliona mateso ya baba zetu huko Misri, ukasikia kilio chao huko Bahari ya Shamu.