Exodus 21:24
jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Eye for eye, tooth for tooth, hand for hand, foot for foot,
In Context
23Lakini kukiwa na jeraha kubwa, ni lazima ulipe uhai kwa uhai,
25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, mchubuko kwa mchubuko.
Cross References
Leviticus 24:19Ikiwa mtu yeyote atamjeruhi jirani yake, chochote alichomtenda naye atatendewa:
Judges 1:6Adoni-Bezeki pia alikimbia, nao wakamfuata na kumkamata, wakamkata vidole vyake gumba vya mikono na vya miguu.
Matthew 5:38“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’
Luke 6:38Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa. Kipimo cha kujaa na kushindiliwa na kusukwasukwa hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu. Kwa kuwa kipimo kile mpimacho, ndicho mtakachopimiwa.”