Exodus 22:23
Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If thou afflict them in any wise, and they cry at all unto me, I will surely hear their cry;
In Context
22“Usimdhulumu mjane wala yatima.
Cross References
Deuteronomy 15:9Jihadhari usijiwekee wazo hili ovu: “Mwaka wa saba, mwaka wa kufuta madeni umekaribia,” usije ukaonyesha nia mbaya kwa ndugu yako mhitaji na ukaacha kumpa chochote. Anaweza kumlalamikia Bwana dhidi yako nawe utakuwa umepatikana na hatia ya dhambi.
Job 31:38“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, 2 na mifereji yake yote imelowana kwa machozi, 1
Job 35:9“Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso; 2 huomba msaada kutoka mkono wenye nguvu. 1
Psalms 18:6Katika shida yangu nalimwita Bwana, 2 nilimlilia Mungu wangu anisaidie. 1 Kutoka hekaluni mwake alisikia sauti yangu, 2 kilio changu kikafika mbele zake, 2 masikioni mwake. 1
Psalms 145:19Huwatimizia wamchao matakwa yao, 2 husikia kilio chao na kuwaokoa. 1
Proverbs 22:22Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini, 2 wala kumdhulumu mhitaji mahakamani, 1