Kutoka 20:16
Usimshuhudie jirani yako uongo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou shalt not bear false witness against thy neighbour.
In Context
Cross References
Exodus 23:6“Usiwanyime haki watu wako walio maskini katika mashtaka yao.
Leviticus 19:16“ ‘Usieneze uchochezi miongoni mwa watu wako. “ ‘Usifanye kitu chochote kile kinachohatarisha maisha ya jirani yako. Mimi ndimi Bwana.
1 Samuel 22:8Je, ndiyo sababu ninyi mkapanga hila mbaya dhidi yangu? Hakuna hata mmoja wenu ambaye ameniambia ni lini mwanangu alifanya agano na mwana wa Yese. Hapana hata mmoja wenu anayejishughulisha nami wala anayeniambia kwamba mwanangu amechochea mtumishi wangu kunivizia, kama afanyavyo leo.”
Psalms 15:3na hana masingizio ulimini mwake, 1 asiyemtenda jirani yake vibaya, 2 na asiyemsingizia mwenzake, 1
Proverbs 10:18Yeye afichaye chuki yake ana midomo ya uongo, 2 na yeyote anayeeneza uchonganishi ni mpumbavu. 1
Proverbs 19:5Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, 2 naye amwagaye uongo hataachwa huru. 1