Kutoka 23:22
Kama ukitii kweli kweli kile asemacho na kufanya yote nisemayo, nitakuwa adui wa adui zako, na nitawapinga wale wakupingao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 15:16vitisho na hofu vitawaangukia. 1 Kwa nguvu ya mkono wako 2 watatulia kama jiwe, 1 mpaka watu wako waishe kupita, Ee Bwana, 2 mpaka watu uliowanunua wapite. 1
Numbers 24:9Hujikunyata na kuvizia kama simba, 2 kama simba jike; nani anayethubutu kumwamsha? 1 “Abarikiwe kila akubarikiye, 2 na alaaniwe kila akulaaniye!”
Joshua 9:7Basi watu wa Israeli wakawaambia hao Wahivi, “Lakini huenda mnakaa karibu nasi, twawezaje basi kufanya mapatano nanyi?”
Jeremiah 30:20Watoto wao watakuwa kama walivyokuwa 2 siku za zamani, 1 nayo jumuiya yao itaimarishwa mbele yangu; 2 nitawaadhibu wale wote wawaoneao. 1
Acts 9:4Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?”