The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 23 › Kutoka 23:26

Kutoka 23:26

na hakuna atakayeharibu mimba wala atakayekuwa tasa katika nchi yako. Nami nitakupa maisha makamilifu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There shall nothing cast their young, nor be barren, in thy land: the number of thy days I will fulfil.

In Context

25Utamwabudu Bwana Mungu wako, na baraka zake zitakuwa juu ya vyakula vyako na maji yako. Nami nitaondoa maradhi miongoni mwako,

27“Nitapeleka utisho wangu mbele yako na kufadhaisha kila taifa utakalolifikia. Nitafanya adui zako wote wakupe kisogo na kukimbia.

Read all of Kutoka 23

Cross References

Genesis 35:29Kisha Isaki akapumua pumzi yake ya mwisho akafa, akakusanywa pamoja na watu wake akiwa mzee wa miaka mingi. Nao wanawe Esau na Yakobo wakamzika.

Deuteronomy 28:4Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na wanyama wako wachanga wa kufugwa, yaani ndama wa makundi yako ya ngʼombe, na wana-kondoo wa makundi yako.

Job 5:26Utaingia kaburini ukiwa na umri wa uzee mtimilifu, 2 kama masuke ya ngano yakusanywapo kwa wakati wake. 1

Job 42:17Hivyo Ayubu akafa, akiwa mzee aliyekuwa ameshiba siku.

Psalms 90:10Siku zetu za kuishi ni miaka sabini, 2 au miaka themanini ikiwa tuna nguvu, 2 lakini yote ni ya shida na taabu, 2 nazo zapita haraka, nasi twatoweka. 1

Psalms 144:13Ghala zetu zitajazwa 2 aina zote za mahitaji. 1 Kondoo zetu watazaa kwa maelfu, 2 kwa makumi ya maelfu katika mashamba yetu; 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 23:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 23:25Kutoka 23Kutoka 23:27 →