bible.software › Kutoka › Kutoka 25 › Kutoka 25:24
Kutoka 25:24
Ifunike kwa dhahabu safi, na kuitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt overlay it with pure gold, and make thereto a crown of gold round about.
In Context
23“Tengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili, + 25:23 Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90. upana wa dhiraa moja, na kimo cha dhiraa moja na nusu.
25Kisha tengeneza upapi wenye upana wa nyanda nne, + 25:25 Nyanda nne ni sawa na sentimita 8. na ufanyie ule upapi ukingo wa dhahabu kuuzunguka pande zote.
Read all of Kutoka 25
Cross References
Exodus 30:3Funika hayo madhabahu juu na pande zote na pia pembe zake kwa dhahabu safi, na uifanyizie ukingo wa dhahabu kuizunguka.
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 25:24