Kutoka 26:17
zikiwa na ndimi mbili zilizo sambamba kila mmoja na mwingine. Tengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Tengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani,
Cross References
Exodus 26:19kisha tengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.
Exodus 36:24na wakatengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.