Ayubu 38:6
Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, 2 au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Whereupon are the foundations thereof fastened? or who laid the corner stone thereof;
In Context
Cross References
1 Samuel 2:8Humwinua maskini kutoka mavumbini 2 na humwinua mhitaji kutoka lundo la majivu; 1 huwaketisha pamoja na wakuu 2 na kuwafanya warithi kiti cha enzi cha heshima. 1 “Kwa kuwa misingi ya dunia ni ya Bwana; 2 juu yake ameuweka ulimwengu. 1
Psalms 24:2maana aliiwekea misingi yake baharini 2 na kuifanya imara juu ya maji. 1
Psalms 104:5Ameiweka dunia kwenye misingi yake, 2 haiwezi kamwe kuondoshwa. 1
Psalms 144:12Kisha wana wetu wakati wa ujana wao 2 watakuwa kama mimea iliyotunzwa vizuri, 1 binti zetu watakuwa kama nguzo zilizoviringwa 2 kurembesha jumba la kifalme. 1
Zechariah 12:1Hili ni neno la Bwana kuhusu Israeli. Bwana, yeye azitandaye mbingu, awekaye misingi ya dunia na aiumbaye roho ya mwanadamu ndani yake, asema:
2 Peter 3:5Lakini wao kwa makusudi hupuuza ukweli huu, ya kwamba kwa neno la Mungu mbingu zilikuwepo tangu zamani, nayo dunia ilifanyizwa kutoka ndani ya maji na kwa maji.