bible.software › Kutoka › Kutoka 27 › Kutoka 27:18
Kutoka 27:18
Ua wa kukutania utakuwa na urefu wa dhiraa mia moja na upana wa dhiraa hamsini, ukiwa na mapazia ya kitani yaliyosokotwa vizuri yenye urefu wa dhiraa tano kwenda juu na vitako vya shaba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The length of the court shall be an hundred cubits, and the breadth fifty every where, and the height five cubits of fine twined linen, and their sockets of brass.
In Context
17Nguzo zote zinazozunguka ua zitakuwa na tepe na kulabu za fedha, na vitako vya shaba.
19Vyombo vingine vyote vinavyotumika katika maskani kwa shughuli yoyote, pamoja na vigingi vyote na hata vile vya ua, vitakuwa vya shaba. 1 Mafuta Ya Kinara Cha Taa (Walawi 24:1-4)
Read all of Kutoka 27
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 27:18