bible.software › Kutoka › Kutoka 27 › Kutoka 27:17
Kutoka 27:17
Nguzo zote zinazozunguka ua zitakuwa na tepe na kulabu za fedha, na vitako vya shaba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All the pillars round about the court shall be filleted with silver; their hooks shall be of silver, and their sockets of brass.
In Context
16“Kuhusu ingilio la ua, weka pazia lenye urefu wa dhiraa ishirini + 27:16 Dhiraa 20 ni sawa na mita 9. la nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu pamoja na kitani iliyosokotwa vizuri, kazi ya mtarizi. Pazia hilo litashikiliwa na nguzo nne na vitako vinne.
18Ua wa kukutania utakuwa na urefu wa dhiraa mia moja na upana wa dhiraa hamsini, ukiwa na mapazia ya kitani yaliyosokotwa vizuri yenye urefu wa dhiraa tano kwenda juu na vitako vya shaba.
Read all of Kutoka 27
Cross References
Exodus 38:28Akatumia zile shekeli hizo 1,775 kutengeneza kulabu za nguzo, kufunika ncha za nguzo na kutengeneza vitanzi vyake.
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 27:17