Kutoka 28:3
Waambie mafundi stadi wote niliowapa hekima katika shughuli hiyo wamtengenezee Aroni mavazi hayo, ili awekwe wakfu, anitumikie katika kazi ya ukuhani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Mshonee Aroni ndugu yako mavazi matakatifu ili yampe ukuu na heshima.
Cross References
Exodus 31:6Tena nimemteua Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, ili kumsaidia. Pia mafundi wote nimewapa ustadi wa kutengeneza kila kitu nilichokuamuru wewe:
Exodus 35:25Kila mwanamke aliyekuwa na ujuzi alisokota kwa mikono yake na alileta kile alichosokota, iwe ni nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, au za rangi nyekundu au kitani safi.
Exodus 35:35Amewajaza ustadi wa kufanya kazi za aina zote zifanywazo na mafundi, na wenye kubuni michoro, pia na watarizi kwa rangi za buluu, zambarau, nyekundu na kitani safi, na wafumaji: wote wakiwa mafundi na wabunifu hodari.
Exodus 36:2Ndipo Mose akawaita Bezaleli na Oholiabu na kila mtu mwenye ustadi ambaye Bwana alikuwa amempa uwezo na mwenye kupenda kuja na kufanya kazi.
Proverbs 2:6Kwa maana Bwana hutoa hekima, 2 na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu. 1
Isaiah 28:24Wakati mkulima alimapo ili apande, 2 je, hulima siku zote? 1 Je, huendelea kubomoa ardhi 2 na kusawazisha udongo? 1