Exodus 29:21
Pia chukua sehemu ya damu iliyo juu ya madhabahu na sehemu ya mafuta ya upako, umnyunyizie Aroni na mavazi yake, pia wanawe na mavazi yao. Ndipo Aroni na wanawe pamoja na mavazi yao watakuwa wamewekwa wakfu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 29:7Chukua yale mafuta ya upako umimine juu ya kichwa chake.
Exodus 30:30“Mtie Aroni na wanawe mafuta na uwaweke wakfu ili waweze kunitumikia katika kazi ya ukuhani.
Leviticus 8:30Kisha Mose akachukua sehemu ya mafuta ya upako, na sehemu ya damu kutoka kwenye madhabahu, na kuvinyunyiza juu ya Aroni na mavazi yake, na juu ya wanawe na mavazi yao. Kwa hiyo akamweka Aroni na mavazi yake wakfu, pamoja na wanawe na mavazi yao.
Leviticus 14:29Kuhani atayapaka mafuta yaliyobaki katika kiganja chake kwenye kichwa cha yule anayetakaswa, na kufanya upatanisho kwa ajili yake mbele za Bwana.
Isaiah 11:2Roho wa Bwana atakaa juu yake, 2 Roho wa hekima na wa ufahamu, 2 Roho wa shauri na wa uweza, 2 Roho wa maarifa na wa kumcha Bwana 1
John 17:19Kwa ajili yao najiweka wakfu ili wao nao wapate kutakaswa katika ile kweli. 1 Yesu Awaombea Wote Wamwaminio