Exodus 29:45
Ndipo nitakapofanya makao miongoni mwa Waisraeli na kuwa Mungu wao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I will dwell among the children of Israel, and will be their God.
In Context
Cross References
Exodus 6:7Nitawatwaa mwe watu wangu mwenyewe, nami nitakuwa Mungu wenu. Ndipo mtajua kuwa mimi ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa chini ya kongwa la Wamisri.
Exodus 25:8“Kisha uwaamuru wanitengenezee mahali patakatifu, nami nitakaa miongoni mwao.
Leviticus 26:12Nitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.
Numbers 35:34Msiinajisi nchi mnayoishi, ambayo nami ninakaa, kwa kuwa Mimi, Bwana, ninakaa katikati ya Waisraeli.’ ”
Psalms 68:18Ulipopanda juu, uliteka mateka, 2 ukapokea vipawa kutoka kwa wanadamu, 1 hata kutoka kwa wale walioasi, 2 ili wewe, Ee Bwana Mungu, upate kuishi huko. 1
Ezekiel 34:24Mimi Bwana nitakuwa Mungu wao, naye mtumishi wangu Daudi atakuwa mkuu miongoni mwao. Mimi Bwana nimenena.