Genesis 29:32
Lea akapata mimba akazaa mwana. Akamwita Reubeni, + 29:32 Reubeni maana yake Ona mwana, yaani Yehova ameangalia taabu yangu. kwa maana alisema, “Ni kwa sababu Bwana ameona huzuni yangu. Hakika mume wangu sasa atanipenda.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Bwana alipoona kwamba Lea hapendwi, akampa watoto, lakini Raheli alikuwa tasa.
Cross References
Genesis 16:11Pia malaika wa Bwana akamwambia: 1 “Wewe sasa una mimba 2 nawe utamzaa mwana. 1 Utamwita jina lake Ishmaeli, + 16:11 Ishmaeli maana yake Mungu husikia. 2 kwa sababu Bwana amesikia juu ya huzuni yako. 1
Genesis 35:22Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili: 1
Genesis 37:21Reubeni aliposikia jambo hili, akajaribu kumwokoa kutoka mikononi mwao akasema, “Tusiutoe uhai wake.
Genesis 42:22Reubeni akawajibu, “Sikuwaambieni msitende dhambi dhidi ya kijana? Lakini hamkunisikiliza! Sasa ni lazima tuadhibiwe kwa ajili ya damu yake.”
Genesis 46:8Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli (Yakobo na wazao wake), waliokwenda Misri: 1 Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo. 1
Exodus 3:7Bwana akamwambia, “Hakika nimeona mateso ya watu wangu katika Misri. Nimesikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao, nami naguswa na mateso yao.