Kutoka 30:24
shekeli 500 za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini + 30:24 Hini moja ni sawa na lita 4. ya mafuta ya zeituni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And of cassia five hundred shekels, after the shekel of the sanctuary, and of oil olive an hin:
In Context
Cross References
Leviticus 19:36Tumia mizani halali, mawe ya kupimia uzito halali, efa + 19:36 Efa kilikuwa kipimo cha vitu vikavu. halali, na hini + 19:36 Hini kilikuwa kipimo cha vitu vimiminika. halali. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, ambaye alikutoa katika nchi ya Misri.
Numbers 15:5Pamoja na kila mwana-kondoo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa au dhabihu, andaa robo ya hini ya divai kwa sadaka ya kinywaji.
Ezekiel 45:12Shekeli moja itakuwa gera ishirini. + 45:12 Gera 20 ni sawa na shekeli 1. Shekeli ishirini, jumlisha na shekeli ishirini na tano, jumlisha na shekeli kumi na tano zitakuwa mina moja. + 45:12 Mina 1 hapa ni sawa na shekeli 60; mina ya kawaida ilikuwa sawa na shekeli 50. 1 Sadaka Na Siku Takatifu (Kutoka 12:1-20; Walawi 23:33-43)