Waamuzi 5:12
‘Amka, amka! Debora! 2 Amka, amka, uimbe! 1 Ee Baraka! Inuka, 2 chukua mateka wako uliowateka, 2 ee mwana wa Abinoamu.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 57:8Amka, nafsi yangu! 2 Amka, kinubi na zeze! 2 Nitayaamsha mapambazuko. 1
Psalms 68:18Ulipopanda juu, uliteka mateka, 2 ukapokea vipawa kutoka kwa wanadamu, 1 hata kutoka kwa wale walioasi, 2 ili wewe, Ee Bwana Mungu, upate kuishi huko. 1
Psalms 108:2Amka, kinubi na zeze! 2 Nitayaamsha mapambazuko. 1
Isaiah 33:1Ole wako wewe, ee mharabu, 2 wewe ambaye hukuharibiwa! 1 Ole wako, ee msaliti, 2 wewe ambaye hukusalitiwa! 1 Utakapokwisha kuharibu, 2 utaharibiwa; 1 utakapokwisha kusaliti, 2 utasalitiwa. 1
Isaiah 51:9Amka, Amka! Jivike nguvu, 2 ewe mkono wa Bwana, 1 Amka, kama siku zilizopita, 2 kama vile vizazi vya zamani. 1 Si ni wewe uliyemkata Rahabu vipande vipande, 2 uliyemchoma yule joka? 1
Isaiah 52:1Amka, amka, ee Sayuni, 2 jivike nguvu. 1 Vaa mavazi yako ya fahari, 2 ee Yerusalemu, mji mtakatifu. 1 Asiyetahiriwa na aliye najisi 2 hataingia kwako tena. 1