Waamuzi 5:3
“Sikieni hili, enyi wafalme! 2 Sikilizeni, enyi watawala! 1 Nitamwimbia Bwana, nitaimba; 2 kwa wimbo nitamhimidi Bwana, 2 Mungu wa Israeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 6:17Nitaleta gharika ya maji juu ya nchi ili kuangamiza uhai wote chini ya mbingu, kila kiumbe chenye pumzi ya uhai ndani yake. Kila kitu juu ya nchi kitaangamia.
Exodus 31:6Tena nimemteua Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, ili kumsaidia. Pia mafundi wote nimewapa ustadi wa kutengeneza kila kitu nilichokuamuru wewe:
Deuteronomy 32:1Sikilizeni, enyi mbingu, nami nitasema; 2 sikia, ee nchi, maneno ya kinywa changu. 1
Judges 5:7Mashujaa walikoma katika Israeli, 2 walikoma mpaka mimi, Debora, nilipoinuka, 2 nilipoinuka kama mama katika Israeli. 1
1 Kings 19:10Akajibu, “Nimeona wivu mwingi kwa ajili ya Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote. Waisraeli wamelikataa Agano lako, wamevunja madhabahu zako na kuwaua manabii wako kwa upanga. Ni mimi, mimi peke yangu, niliyebaki, nao sasa wananitafuta ili waniangamize.”
Ezra 7:21Mimi, Mfalme Artashasta, sasa naagiza watunza hazina wote wa Ngʼambo ya Mto Frati kutoa kwa bidii chochote kwa Ezra kuhani na mwalimu wa Sheria ya Mungu wa mbinguni atakachohitaji kwenu,