Isaiah 3:23
vioo, mavazi ya kitani, taji na shali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The glasses, and the fine linen, and the hoods, and the vails.
In Context
22majoho mazuri, mitandio, mavazi, kifuko cha kutilia fedha,
Cross References
Genesis 41:42Ndipo Farao akaivua pete yake ya muhuri kutoka kidoleni mwake na kuivalisha katika kidole cha Yosefu. Akamvika majoho mazuri ya kitani safi na mkufu wa dhahabu shingoni mwake.
Ruth 3:15Pia akamwambia, “Leta shela yako uliyoivaa, uitandaze.” Naye alipoitandaza, akamimina vipimo sita vya shayiri, akamtwika. Kisha Ruthu akarudi zake mjini.
Song of Solomon 5:7Walinzi walinikuta 2 walipokuwa wakifanya zamu za ulinzi mjini. 1 Walinipiga, wakanijeruhi, 2 wakaninyangʼanya joho langu, 2 hao walinzi wa kuta! 1
Luke 16:19“Palikuwa na mtu mmoja tajiri aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, ambaye aliishi kwa anasa kila siku.
Revelation 19:14Majeshi ya mbinguni walikuwa wakimfuata, wakiwa wamepanda farasi weupe, hali wamevaa mavazi ya kitani safi, nyeupe na nzuri.