Exodus 39:6
Akatengeneza vito vya shohamu vilivyowekwa katika vijalizo vya dhahabu, navyo vilichorwa na majina ya wana wa Israeli kama vile muhuri huchorwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 25:7na vito vya shohamu na vito vingine vya thamani vya kuweka kwenye kisibau na kile kifuko cha kifuani.
Exodus 35:9vito vya shohamu, na vito vingine vya thamani vya kuweka kwenye kisibau na kile kifuko cha kifuani.
Ezekiel 28:13Ulikuwa ndani ya Edeni, 2 bustani ya Mungu; 1 kila kito cha thamani kilikupamba: 2 akiki nyekundu, yakuti manjano na zumaridi, 2 krisolitho, shohamu na yaspi, 2 yakuti samawi, almasi na zabarajadi. 1 Kuwekwa kwa hayo mapambo na kushikizwa kwake 2 kulifanywa kwa dhahabu; 2 siku ile ulipoumbwa yaliandaliwa tayari. 1