The Bible Software
bible.softwareEzekieliEzekieli 28 › Ezekieli 28:13

Ezekieli 28:13

Ulikuwa ndani ya Edeni, 2 bustani ya Mungu; 1 kila kito cha thamani kilikupamba: 2 akiki nyekundu, yakuti manjano na zumaridi, 2 krisolitho, shohamu na yaspi, 2 yakuti samawi, almasi na zabarajadi. 1 Kuwekwa kwa hayo mapambo na kushikizwa kwake 2 kulifanywa kwa dhahabu; 2 siku ile ulipoumbwa yaliandaliwa tayari. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou hast been in Eden the garden of God; every precious stone was thy covering, the sardius, topaz, and the diamond, the beryl, the onyx, and the jasper, the sapphire, the emerald, and the carbuncle, and gold: the workmanship of thy tabrets and of thy pipes was prepared in thee in the day that thou wast created.

In Context

12“Mwanadamu, mfanyie maombolezo mfalme wa Tiro, nawe umwambie: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Ulikuwa kipeo cha ukamilifu, 2 ukiwa umejaa hekima 2 na mkamilifu katika uzuri. 1

14Ulitiwa mafuta kuwa kerubi mlinzi, 2 kwa kuwa hivyo ndivyo nilivyokuweka wakfu. 1 Ulikuwa kwenye mlima mtakatifu wa Mungu; 2 ulitembea katikati ya vito vya moto. 1

Read all of Ezekieli 28

Cross References

Genesis 2:8Basi Bwana Mungu alikuwa ameotesha bustani upande wa mashariki, katika Edeni, huko akamweka huyo mtu aliyemuumba.

Genesis 3:23Hivyo Bwana Mungu akamfukuzia mbali kutoka Bustani ya Edeni, akalime ardhi ambamo alitolewa.

Exodus 28:17Kisha weka safu nne za vito vya thamani juu yake. Safu ya kwanza itakuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi;

Job 28:19Yakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo, 2 wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi. 1

Isaiah 23:16“Twaa kinubi, tembea mjini kote, 2 ewe kahaba uliyesahauliwa; 1 piga kinubi vizuri, imba nyimbo nyingi, 2 ili upate kukumbukwa.”

Isaiah 51:3Hakika Bwana ataifariji Sayuni, 2 naye atayaangalia kwa huruma magofu yake yote; 1 atayafanya majangwa yake yawe kama Edeni, 2 nazo sehemu zake zisizolimika ziwe kama bustani ya Bwana. 1 Shangwe na furaha zitakuwako ndani yake, 2 shukrani na sauti za kuimba. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekieli 28:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekieli 28:12Ezekieli 28Ezekieli 28:14 →