Exodus 4:8
Ndipo Bwana akamwambia, “Kama hawatakuamini wewe, au kutojali ishara ya kwanza, wataamini ishara ya pili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 4:28Kisha Mose akamwambia Aroni kila kitu Bwana alichomtuma kusema, vilevile habari za ishara na maajabu alizokuwa amemwamuru kufanya.
Deuteronomy 32:39“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! 2 Hakuna mungu mwingine ila Mimi. 1 Mimi ninaua na Mimi ninafufua, 2 Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, 2 wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu. 1
2 Kings 5:7Mara mfalme wa Israeli alipomaliza kuisoma ile barua, akararua mavazi yake na kusema, “Je, mimi ni Mungu? Je, mimi naweza kuua na kufufua tena? Kwa nini huyu mtu anamtuma mtu ili mimi nipate kumponya ukoma wake? Tazama jinsi anavyotafuta kuanzisha ugomvi nami!”
Isaiah 28:10Kwa maana ni: 2 Amri juu ya amri, amri juu ya amri, 2 kanuni juu ya kanuni, kanuni juu ya kanuni; 2 hapa kidogo, kule kidogo.” 1