Isaya 28:10
Kwa maana ni: 2 Amri juu ya amri, amri juu ya amri, 2 kanuni juu ya kanuni, kanuni juu ya kanuni; 2 hapa kidogo, kule kidogo.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Sawa kabisa, kwa midomo migeni 2 na kwa lugha ngeni, 2 Mungu atasema na watu hawa, 1
Cross References
2 Chronicles 36:15Bwana, Mungu wa baba zao, akawapelekea neno kupitia wajumbe wake tena na tena, kwa sababu alikuwa anawahurumia watu wake pamoja na mahali pa maskani yake.
Isaiah 5:4Ni nini zaidi ambacho kingeweza kufanyika kwa shamba langu la mizabibu 2 kuliko yale niliyofanya? 1 Nilipotazamia kupata zabibu nzuri, 2 kwa nini lilizaa zabibu mbaya tu? 1
Jeremiah 11:7Tangu wakati ule niliwapandisha baba zenu kutoka Misri mpaka leo, niliwaonya tena na tena, nikisema “Nitiini mimi.”
Matthew 21:34Wakati wa mavuno ulipokaribia, akawatuma watumishi wake kwa hao wapangaji ili kukusanya matunda yake.
2 Timothy 3:7Wakijifunza siku zote lakini kamwe wasiweze kufikia ujuzi wa kweli.