The Bible Software
bible.softwareExodusExodus 5 › Exodus 5:13

Exodus 5:13

Viongozi wa watumwa wakasisitiza, wakisema, “Timizeni kazi mnayotakiwa kwa kila siku, kama wakati ule mlipokuwa mkipewa nyasi.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the taskmasters hasted them, saying, Fulfil your works, your daily tasks, as when there was straw.

In Context

12Basi watu wakatawanyika kote nchini Misri kukusanya mabua ya kutumia badala ya nyasi.

14Wasimamizi wa Kiisraeli waliochaguliwa na viongozi wa watumwa wa Farao walipigwa na kuulizwa, “Kwa nini hamkutimiza kiwango chenu cha kutengeneza matofali jana na leo, kama mwanzoni?”

Read all of Exodus 5

Cross References

Exodus 5:11Nendeni mkatafute nyasi wenyewe popote mnapoweza kuzipata, lakini kazi yenu haitapunguzwa hata kidogo.’ ”

Job 39:7Huzicheka ghasia za mji, 2 wala hasikii kelele za mwendesha gari. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Exodus 5:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Exodus 5:12Exodus 5Exodus 5:14 →