bible.software › Kutoka › Kutoka 5 › Kutoka 5:14
Kutoka 5:14
Wasimamizi wa Kiisraeli waliochaguliwa na viongozi wa watumwa wa Farao walipigwa na kuulizwa, “Kwa nini hamkutimiza kiwango chenu cha kutengeneza matofali jana na leo, kama mwanzoni?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the officers of the children of Israel, which Pharaoh’s taskmasters had set over them, were beaten, and demanded, Wherefore have ye not fulfilled your task in making brick both yesterday and to day, as heretofore?
In Context
13Viongozi wa watumwa wakasisitiza, wakisema, “Timizeni kazi mnayotakiwa kwa kila siku, kama wakati ule mlipokuwa mkipewa nyasi.”
15Ndipo wasimamizi wa Kiisraeli wakaenda kumlilia Farao, wakisema: “Mbona umewatendea watumishi wako hivi?
Read all of Kutoka 5
Cross References
Isaiah 10:24Kwa hiyo, hili ndilo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: 1 “Enyi watu wangu mkaao Sayuni, 2 msiwaogope Waashuru, 1 wanaowapiga ninyi kwa fimbo 2 na kuinua rungu dhidi yenu, kama Misri ilivyofanya. 1
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 5:14