The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 10 › Isaya 10:24

Isaya 10:24

Kwa hiyo, hili ndilo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: 1 “Enyi watu wangu mkaao Sayuni, 2 msiwaogope Waashuru, 1 wanaowapiga ninyi kwa fimbo 2 na kuinua rungu dhidi yenu, kama Misri ilivyofanya. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore thus saith the Lord GOD of hosts, O my people that dwellest in Zion, be not afraid of the Assyrian: he shall smite thee with a rod, and shall lift up his staff against thee, after the manner of Egypt.

In Context

23Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, atatekeleza 2 maangamizi yaliyoamriwa juu ya nchi yote.

25Bado kitambo kidogo sana hasira yangu dhidi yenu itakoma, 2 na ghadhabu yangu itaelekezwa kwenye maangamizi yao.” 1

Read all of Isaya 10

Cross References

Exodus 1:10Njooni, ni lazima tuwashughulikie kwa uangalifu, la sivyo watazidi kuwa wengi zaidi, na ikiwa patatokea vita, watajiunga na adui zetu kupigana dhidi yetu na kuondoka katika nchi hii.”

Exodus 5:14Wasimamizi wa Kiisraeli waliochaguliwa na viongozi wa watumwa wa Farao walipigwa na kuulizwa, “Kwa nini hamkutimiza kiwango chenu cha kutengeneza matofali jana na leo, kama mwanzoni?”

Exodus 14:21Ndipo Mose akanyoosha mkono wake juu ya bahari, naye Bwana akayasukuma maji ya bahari nyuma kwa upepo mkali wa mashariki usiku ule wote na kupafanya nchi kavu. Maji yakagawanyika,

2 Kings 19:6Isaya akawaambia, “Mwambieni bwana wenu, ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Usiogope kwa hayo uliyoyasikia, yale maneno ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wamenitukana nayo.

Isaiah 4:3Wale watakaoachwa Sayuni, watakaobaki Yerusalemu, wataitwa watakatifu, wale wote ambao wameorodheshwa miongoni mwa walio hai huko Yerusalemu.

Isaiah 9:4Kama vile siku ya kushindwa kwa Wamidiani, 2 umevunja nira iliyowalemea, 1 ile gongo mabegani mwao na 2 fimbo yake yeye aliyewaonea. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 10:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 10:23Isaya 10Isaya 10:25 →