The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 6 › Kutoka 6:14

Kutoka 6:14

Hawa walikuwa wakuu wa jamaa zao: 1 Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa kiume wa Israeli walikuwa Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. Hawa walikuwa ndio koo za Reubeni. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

These be the heads of their fathers’ houses: The sons of Reuben the firstborn of Israel; Hanoch, and Pallu, Hezron, and Carmi: these be the families of Reuben.

In Context

13Ndipo Bwana akanena na Mose na Aroni kuhusu Waisraeli na Farao mfalme wa Misri, naye akawaamuru wawatoe Waisraeli kutoka Misri.

15Wana wa Simeoni walikuwa Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani. Hawa walikuwa ndio koo za Simeoni. 1

Read all of Kutoka 6

Cross References

Genesis 46:11Wana wa Lawi ni: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1

Exodus 6:25Eleazari mwana wa Aroni akamwoa mmoja wa binti za Putieli, naye akamzalia Finehasi. 1 Hawa walikuwa ndio wakuu wa jamaa za Walawi, ukoo kwa ukoo.

Numbers 26:5Wazao wa Reubeni, mwana mzaliwa wa kwanza wa Israeli, walikuwa: 1 kutoka kwa Hanoki, ukoo wa Wahanoki; 1 kutoka kwa Palu, ukoo wa Wapalu; 1

Joshua 13:15Haya ndiyo maeneo ambayo Mose alikuwa amewapa kabila la Reubeni ukoo kwa ukoo:

Joshua 14:1Basi haya ndiyo maeneo Waisraeli waliyopokea kama urithi katika nchi ya Kanaani, ambayo kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni na viongozi wa koo za kabila za Israeli waliwagawia.

1 Chronicles 5:3Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Israeli walikuwa: 1 Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 6:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 6:13Kutoka 6Kutoka 6:15 →