Exodus 6:16
Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi kufuatana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Wana wa Gershoni kwa koo, walikuwa Libni na Shimei. 1
Cross References
Genesis 35:28Isaki aliishi miaka 180.
Genesis 46:11Wana wa Lawi ni: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1
Genesis 50:26Kwa hiyo Yosefu akafa akiwa na umri wa miaka 110. Baada ya kumtia dawa ili asioze, akawekwa kwenye jeneza huko Misri.
Exodus 6:20Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. 1
Numbers 3:18Haya ndiyo yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni: 2 Libni na Shimei. 1
Numbers 3:20Koo za Wamerari zilikuwa ni: 2 Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Walawi, kufuatana na jamaa zao.