Isaya 42:8
“Mimi ndimi Bwana; hilo ndilo Jina langu! 2 Sitampa mwingine utukufu wangu 2 wala sanamu sifa zangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 3:14Mungu akamwambia Mose, “ Mimi niko ambaye niko. Hivyo ndivyo utakavyowaambia Waisraeli: ‘ Mimi niko amenituma kwenu.’ ”
Exodus 20:3Usiwe na miungu mingine ila mimi. 1
Psalms 83:18Hebu wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni Bwana, 2 kwamba wewe peke yako ndiwe Uliye Juu Sana ya dunia yote.
Isaiah 48:5Kwa hiyo nilikuambia mambo haya tangu zamani, 2 kabla hayajatokea nilikutangazia 1 ili usije ukasema, 2 ‘Sanamu zangu zilifanya hayo; 2 kinyago changu cha mti na mungu wangu wa chuma aliyaamuru.’ 1
Isaiah 48:11Kwa ajili yangu mwenyewe, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, nafanya hili. 1 Jinsi gani niliache Jina langu lichafuliwe? 2 Sitautoa utukufu wangu kwa mwingine. 1 Israeli Anawekwa Huru 1
John 5:23ili wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Yeyote asiyemheshimu Mwana, hamheshimu Baba aliyemtuma.