Exodus 6:5
Zaidi ya hayo, nimesikia kilio cha huzuni cha Waisraeli ambao Wamisri wamewatia utumwani, nami nimelikumbuka Agano langu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Pia niliweka Agano langu nao kuwapa nchi ya Kanaani, ambako waliishi kama wageni.
Cross References
Genesis 8:1Mungu akamkumbuka Noa na wanyama wote wa porini na wa kufugwa waliokuwa naye ndani ya safina, akatuma upepo ukavuma katika dunia, nayo maji yakaondoka.
Exodus 2:24Mungu akasikia kilio chao cha huzuni, akakumbuka Agano alilofanya na Abrahamu pamoja na Isaki na Yakobo.
Psalms 105:8Hulikumbuka agano lake milele, 2 neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu, 1
Isaiah 63:9Katika taabu zao zote naye alitaabika, 2 na malaika wa uso wake akawaokoa. 1 Katika upendo wake na rehema zake aliwakomboa, 2 akawainua na kuwachukua siku zote zilizopita. 1
Luke 1:72ili kuonyesha rehema kwa baba zetu 2 na kukumbuka Agano lake takatifu, 1