Exodus 7:10
Ndipo Mose na Aroni wakaenda kwa Farao wakafanya sawasawa kama vile Bwana alivyoagiza. Aroni akaitupa ile fimbo yake chini mbele ya Farao na maafisa wake, nayo ikawa nyoka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 4:3Bwana akasema, “Itupe chini.” Mose akaitupa chini hiyo fimbo nayo ikawa nyoka, naye akaikimbia.
Exodus 7:20Mose na Aroni wakafanya kama vile Bwana alivyokuwa amewaagiza. Akainua fimbo yake machoni pa Farao na maafisa wake na kuyapiga maji ya Mto Naili, na maji yote yakabadilika kuwa damu.
Amos 9:3Wajapojificha juu ya kilele cha Karmeli, 2 huko nitawawinda na kuwakamata. 1 Wajapojificha kutoka kwenye uso wangu 2 katika vilindi vya bahari, 2 huko nako nitaamuru joka kuwauma. 1
Luke 10:19Tazama nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na juu ya nguvu zote za adui; wala hakuna kitu chochote kitakachowadhuru.