Exodus 9:7
Farao akatuma watu kuchunguza, nao wakakuta kuwa hakuna hata mnyama mmoja wa Waisraeli aliyekufa. Lakini moyo wa Farao haukukubali kuwaachia watu waende. 1 Pigo La Sita: Majipu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 7:13Hata hivyo moyo wa Farao ukawa mgumu, naye hakuwasikiliza Mose na Aroni, sawasawa kama vile Bwana alivyokuwa amesema. 1 Pigo La Kwanza: Damu
Exodus 8:32Lakini wakati huu pia Farao akaushupaza moyo wake, wala hakuwaruhusu Waisraeli waondoke.
Job 9:4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. 2 Ni nani aliyempinga naye akawa salama? 1
Isaiah 48:4Kwa kuwa nalijua jinsi ulivyokuwa mkaidi; 2 mishipa ya shingo yako ilikuwa chuma, 2 kipaji chako cha uso kilikuwa shaba. 1
Romans 9:18Kwa hiyo basi, Mungu humhurumia yeye atakaye kumhurumia na humfanya mgumu yeye atakaye kumfanya mgumu.