Ezekieli 16:39
Kisha nitakutia mikononi mwa wapenzi wako, nao watabomoa majukwaa yako na kuharibu mahali pako pa fahari pa ibada ya miungu. Watakuvua nguo zako na kuchukua vito vyako vya thamani na kukuacha uchi na bila kitu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:30Nitapaharibu mahali penu pa juu pa kuabudia miungu, nibomoe madhabahu zenu za kufukizia uvumba, na kuzilundika maiti zenu juu ya sanamu zenu zisizo na uhai, nami nitawachukia ninyi sana.
Isaiah 27:9Kwa hili, basi, hatia ya Yakobo itafanyiwa upatanisho, 2 nalo hili litakuwa matunda ya utimilizo wa kuondolewa kwa dhambi yake: 1 Wakati atakapoyafanya mawe yote ya madhabahu 2 kuwa kama mawe ya chokaa yaliyopondwa vipande vipande, 1 hakuna nguzo za Ashera au madhabahu za kufukizia uvumba 2 zitakazobaki zimesimama. 1
Ezekiel 16:10Nikakuvika vazi lililotariziwa na kukuvalisha viatu vya kamba vya ngozi. Nikakuvika nguo za kitani safi na kukufunika kwa mavazi ya thamani kubwa.
Ezekiel 16:31Unapojenga jukwaa lako kila mwanzo wa barabara na kufanyiza mahali pa fahari pa ibada za miungu katika kila kiwanja cha wazi, lakini hukuwa kama kahaba, kwa sababu ulidharau malipo.
Ezekiel 23:29Watakushughulikia kwa chuki na kukunyangʼanya kila kitu ulichokifanyia kazi. Watakuacha uchi na mtupu na aibu ya ukahaba wako itafunuliwa. Uasherati wako na uzinzi wako
Hosea 2:5Mama yao amekosa uaminifu 2 na amewachukua mimba katika aibu. 1 Gomeri alisema, ‘Nitawaendea wapenzi wangu, 2 ambao hunipa chakula changu 2 na maji yangu, 1 sufu yangu na kitani yangu, mafuta yangu 2 na kinywaji changu.’ 1