The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 27 › Isaiah 27:9

Isaiah 27:9

Kwa hili, basi, hatia ya Yakobo itafanyiwa upatanisho, 2 nalo hili litakuwa matunda ya utimilizo wa kuondolewa kwa dhambi yake: 1 Wakati atakapoyafanya mawe yote ya madhabahu 2 kuwa kama mawe ya chokaa yaliyopondwa vipande vipande, 1 hakuna nguzo za Ashera au madhabahu za kufukizia uvumba 2 zitakazobaki zimesimama. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

By this therefore shall the iniquity of Jacob be purged; and this is all the fruit to take away his sin; when he maketh all the stones of the altar as chalkstones that are beaten in sunder, the groves and images shall not stand up.

In Context

8Kwa vita na kwa kumfukuza unapingana naye: 2 kwa mshindo wake mkali anamfukuza, 2 kama siku ile uvumapo upepo wa mashariki. 1

10Mji ulio na boma umebaki ukiwa, 2 makao yaliyotelekezwa, yaliyoachwa kama jangwa. 1 Huko ndama hulisha, 2 huko hujilaza, 2 wanakwanyua matawi yake. 1

Read all of Isaiah 27

Cross References

Exodus 34:13Bomoa madhabahu yao, vunja mawe yao ya kuabudia na ukatekate nguzo zao za Ashera.

2 Kings 25:9Alichoma moto Hekalu la Bwana, jumba la kifalme, na nyumba zote za Yerusalemu. Aliteketeza kila jengo muhimu.

2 Chronicles 14:5Akaondoa mahali pa juu pa kuabudia miungu na madhabahu za kufukizia uvumba kwenye kila mji katika Yuda, nao ufalme ulikuwa na amani katika utawala wake.

2 Chronicles 36:19Wakalichoma Hekalu la Mungu na kuzibomoa kuta za Yerusalemu, wakachoma moto majumba yote ya kifalme na kuharibu kila kitu chake cha thamani.

Psalms 119:67Kabla sijapata shida nilipotea njia, 2 lakini sasa ninalitii neno lako. 1

Proverbs 20:30Mapigo na majeraha huusafisha ubaya, 2 nayo michapo hutakasa utu wa ndani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 27:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 27:8Isaiah 27Isaiah 27:10 →