bible.software › Ezekiel › Ezekiel 21 › Ezekiel 21:8
Ezekiel 21:8
Neno la Bwana likanijia, kusema:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Again the word of the LORD came unto me, saying,
In Context
7Nao watakapokuuliza, ‘Kwa nini unalia kwa uchungu?’ Utasema hivi, ‘Kwa sababu ya habari zinazokuja. Kila moyo utayeyuka na kila mkono utalegea, kila roho itazimia na kila goti litalegea kama maji.’ Habari hizo zinakuja! Hakika zitatokea, asema Bwana Mwenyezi.”
9“Mwanadamu, tabiri na useme, ‘Hili ndilo Bwana asemalo: 1 “ ‘Upanga, upanga, 2 ulionolewa na kusuguliwa: 1
Read all of Ezekiel 21
Cross References
Jeremiah 12:12Juu ya miinuko yote ilivyo kama jangwani 2 mharabu atajaa, 1 kwa maana upanga wa Bwana utawala, 2 kuanzia ncha moja ya nchi hadi nyingine; 2 hakuna hata mmoja atakayekuwa salama. 1
This Verse In Other Editions
Study Ezekiel 21:8