Isaya 28:19
Kila mara lijapo litawachukua, 2 asubuhi baada ya asubuhi, 1 wakati wa mchana na wakati wa usiku, 2 litawakumba tangu mwanzo hadi mwisho.” 1 Kuuelewa ujumbe huu 2 utaleta hofu tupu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 3:11Naye Bwana akamwambia Samweli: “Tazama, nipo karibu kufanya kitu katika Israeli ambacho kitafanya masikio ya kila mmoja atakayesikia yawashe.
2 Kings 18:13Katika mwaka wa kumi na nne wa utawala wa Mfalme Hezekia, Senakeribu mfalme wa Ashuru akaishambulia miji yote ya Yuda yenye ngome na kuiteka.
2 Kings 24:2Bwana akatuma wavamiaji wa Wakaldayo, Waaramu, Wamoabu na Waamoni ili kumshambulia. Aliwatuma kuiangamiza Yuda sawasawa na neno la Bwana lililosemwa na watumishi wake manabii.
Job 41:9Tumaini lolote la kumtiisha ni kujidanganya; 2 kule kumwona tu kunamwangusha mtu chini. 1
Isaiah 33:7Angalia, watu wake mashujaa wanapiga kelele kwa nguvu barabarani, 2 wajumbe wa amani wanalia kwa uchungu. 1
Isaiah 37:3Wakamwambia, “Hili ndilo asemalo Hezekia: Siku hii ni siku ya dhiki, ya kukaripiwa na ya aibu, kama wakati watoto wanapofikia karibu kuzaliwa na kumbe hakuna nguvu ya kuwazaa.