Ezekiel 21:9
“Mwanadamu, tabiri na useme, ‘Hili ndilo Bwana asemalo: 1 “ ‘Upanga, upanga, 2 ulionolewa na kusuguliwa: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Neno la Bwana likanijia, kusema:
Cross References
Deuteronomy 32:41wakati ninapounoa upanga wangu unaometameta 2 na mkono wangu unapoushika ili kutoa hukumu, 1 nitalipiza kisasi juu ya adui zangu 2 na kuwalipiza wale wanaonichukia. 1
Job 20:25Atauchomoa katika mgongo wake, 2 ncha ingʼaayo kutoka ini lake. 1 Vitisho vitakuja juu yake; 2
Isaiah 27:1Katika siku ile, 1 Bwana ataadhibu kwa upanga wake, 2 upanga wake mkali, mkubwa na wenye nguvu, 1 ataadhibu Lewiathani + 27:1 Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. yule nyoka apitaye kwa mwendo laini, 2 Lewiathani yule nyoka mwenye kujipinda; 1 atamuua joka huyo mkubwa sana wa baharini.
Isaiah 66:16Kwa maana kwa moto na kwa upanga wake 2 Bwana atatekeleza hukumu juu ya watu wote, 1 nao wengi watakuwa ni wale 2 waliouawa na Bwana.
Jeremiah 15:2Nao kama wakikuuliza, ‘Twende wapi?’ Waambie, ‘Hili ndilo Bwana asemalo: 1 “ ‘Wale waliowekwa kwa ajili ya kufa, wakafe; 2 waliowekwa kwa ajili ya upanga, kwa upanga; 1 waliowekwa kwa ajili ya njaa, kwa njaa: 2 waliowekwa kwa ajili ya kutekwa, watekwe.’ ”
Ezekiel 21:3uiambie: ‘Hili ndilo Bwana asemalo: Mimi niko kinyume nawe. Nitautoa upanga wangu kwenye ala yake na kumkatilia mbali mwenye haki na mwovu.