Ezekiel 3:21
Lakini ukimwonya mwenye haki asitende dhambi na akaacha kutenda dhambi, hakika ataishi kwa sababu alipokea maonyo na utakuwa umejiokoa nafsi yako.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 9:9Mfundishe mtu mwenye hekima 2 naye atakuwa na hekima zaidi; 1 mfundishe mtu mwadilifu 2 naye atazidi kufundishika. 1
Ezekiel 3:19Lakini ukimwonya mtu mwovu naye akakataa kuacha uovu wake na njia zake mbaya, atakufa katika dhambi yake, lakini wewe utakuwa umejiokoa nafsi yako.
Acts 20:31Hivyo jilindeni! Kumbukeni kwamba kwa miaka mitatu sikuacha kamwe kuwaonya kila mmoja kwa machozi usiku na mchana.
1 Corinthians 10:12Hivyo, yeye ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke.
Galatians 2:11Lakini Petro alipofika Antiokia, mimi nilimpinga ana kwa ana kwa sababu alikuwa amekosea kwa wazi.
Ephesians 4:17Hivyo nawaambia hivi, nami nasisitiza katika Bwana kwamba, msiishi tena kama watu wa Mataifa waishivyo, katika ubatili wa mawazo yao.