The Bible Software
bible.softwareEzekielEzekiel 30 › Ezekiel 30:21

Ezekiel 30:21

“Mwanadamu, nimevunja mkono wa Farao mfalme wa Misri. Haukufungwa ili upone au kuwekewa kipande cha ubao ili upate nguvu za kuweza kuchukua upanga.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Son of man, I have broken the arm of Pharaoh king of Egypt; and, lo, it shall not be bound up to be healed, to put a roller to bind it, to make it strong to hold the sword.

In Context

20Katika mwaka wa kumi na moja, mwezi wa kwanza, siku ya saba, neno la Bwana likanijia kusema:

22Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi ni kinyume na Farao mfalme wa Misri. Nitavunja mikono yake yote miwili, ule mkono ulio mzima pia na ule uliovunjika na kuufanya upanga uanguke toka mkononi mwake.

Read all of Ezekiel 30

Cross References

2 Kings 24:7Mfalme wa Misri hakutoka tena katika nchi yake, kwa sababu mfalme wa Babeli alikuwa ameitwaa himaya yake yote, kuanzia Kijito cha Misri hadi Mto Frati. 1 Yehoyakini Mfalme Wa Yuda (2 Nyakati 36:9-10)

Psalms 37:17kwa maana nguvu za waovu zitavunjwa, 2 lakini Bwana humtegemeza mwenye haki. 1

Isaiah 1:6Kutoka wayo wako wa mguu hadi kwenye utosi wa kichwa chako 2 hakuna uzima: 1 ni majeraha matupu na makovu 2 na vidonda vitokavyo damu, 1 havikusafishwa au kufungwa 2 wala kulainishwa kwa mafuta. 1

Jeremiah 46:11“Panda hadi Gileadi ukapate zeri, 2 ee Bikira Binti wa Misri. 1 Lakini umetumia dawa nyingi bila mafanikio; 2 huwezi kupona. 1

Jeremiah 51:8Babeli ataanguka ghafula na kuvunjika. 2 Mwombolezeni! 1 Tafuteni zeri ya kutuliza maumivu yake, 2 labda anaweza kupona. 1

Nahum 3:16Umeongeza idadi ya wafanyabiashara wako 2 mpaka wamekuwa wengi kuliko nyota za angani, 1 lakini kama nzige wanaacha nchi tupu 2 kisha huruka na kwenda zake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekiel 30:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekiel 30:20Ezekiel 30Ezekiel 30:22 →