Isaya 1:6
Kutoka wayo wako wa mguu hadi kwenye utosi wa kichwa chako 2 hakuna uzima: 1 ni majeraha matupu na makovu 2 na vidonda vitokavyo damu, 1 havikusafishwa au kufungwa 2 wala kulainishwa kwa mafuta. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 2:7Basi Shetani akatoka mbele za Bwana naye akampiga Ayubu kwa majipu mabaya tangu nyayo za miguu yake hadi utosi wa kichwa.
Psalms 38:3Hakuna afya mwilini mwangu 2 kwa sababu ya ghadhabu yako, 1 mifupa yangu haina uzima 2 kwa sababu ya dhambi zangu. 1
Jeremiah 6:7Kama vile kisima kinavyomwaga maji yake, 2 ndivyo anavyomwaga uovu wake. 1 Ukatili na maangamizi yasikika ndani yake, 2 ugonjwa wake na majeraha yake viko mbele yangu daima. 1
Jeremiah 8:21Kwa kuwa watu wangu wamepondwa, nami nimepondeka pia; 2 ninaomboleza, nayo hofu kuu imenishika. 1
Jeremiah 30:12“Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Kidonda chako hakina dawa, 2 jeraha lako haliponyeki. 1
Jeremiah 33:6“ ‘Hata hivyo, nitauletea afya na uponyaji, nitawaponya watu wangu na kuwafanya wafurahie amani tele na salama.