bible.software › Nahumu › Nahumu 3 › Nahumu 3:16
Nahumu 3:16
Umeongeza idadi ya wafanyabiashara wako 2 mpaka wamekuwa wengi kuliko nyota za angani, 1 lakini kama nzige wanaacha nchi tupu 2 kisha huruka na kwenda zake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou hast multiplied thy merchants above the stars of heaven: the cankerworm spoileth, and fleeth away.
In Context
15Huko moto utakuteketeza, 2 huko upanga utakuangusha chini 2 na kama vile panzi, watakumaliza. 1 Ongezeka kama panzi, 2 ongezeka kama nzige! 1
17Walinzi wako ni kama nzige, 2 maafisa wako ni kama makundi ya nzige 2 watuao kwenye kuta wakati wa siku ya baridi: 1 lakini wakati jua linapotokea wanaruka kwenda zao, 2 na hakuna ajuaye waendako. 1
Read all of Nahumu 3
Cross References
Genesis 15:5Akamtoa nje na kusema, “Tazama juu kuelekea mbinguni na uhesabu nyota, kama hakika utaweza kuzihesabu.” Ndipo akamwambia, “Hivyo ndivyo uzao wako utakavyokuwa.”
Nehemiah 9:23Uliwafanya wana wao kuwa wengi kama nyota za angani, nawe ukawaleta katika nchi ambayo uliwaambia baba zao kuingia na kuimiliki.
This Verse In Other Editions
Study Nahumu 3:16