Ezekieli 32:2
“Mwanadamu, fanya maombolezo kwa ajili ya Farao mfalme wa Misri na umwambie: 1 “ ‘Wewe ni kama simba miongoni mwa mataifa, 2 wewe ni kama joka kubwa baharini, 1 unayevuruga maji kwa miguu yako 2 na kuchafua vijito.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 24:9Hujikunyata na kuvizia kama simba, 2 kama simba jike; nani anayethubutu kumwamsha? 1 “Abarikiwe kila akubarikiye, 2 na alaaniwe kila akulaaniye!”
Psalms 74:13Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako; 2 ulivunja vichwa vya wanyama wakubwa wa kutisha katika maji. 1
Proverbs 30:30simba, mwenye nguvu miongoni mwa wanyama, 2 asiyerudi nyuma kwa chochote; 1
Isaiah 51:9Amka, Amka! Jivike nguvu, 2 ewe mkono wa Bwana, 1 Amka, kama siku zilizopita, 2 kama vile vizazi vya zamani. 1 Si ni wewe uliyemkata Rahabu vipande vipande, 2 uliyemchoma yule joka? 1
Jeremiah 9:18Nao waje upesi 2 na kutuombolezea, 1 mpaka macho yetu yafurike machozi 2 na vijito vya maji vitoke kwenye kope zetu. 1
Ezekiel 19:1“Wewe fanya maombolezo kuhusu wakuu wa Israeli